archiveGeorge Weah

Spocha

02:00 Asb: Ballon D’or Pekee Afrika!

Mchezaji wa zamani wa AC Milan na Liberia George Weah ndio mchezaji pekee kutoka Afrika kuwahi kunyakua tuzo ya Ballon d'or. Weah ambae kwasasa ni Rais wa Liberia alitwaa tuzo hiyo mwaka 1995, mpaka sasa hakuna Mwafrika yoyote hata aliyekaribia kutwaa tuzo hiyo kubwa duniani kwa upande wa Kandanda.