Ahmad ameongeza kuwa katika mchezo wa kesho kama Timu inahitaji matokeo mazuri kutokana na kwamba KMC FC hapo kwenye nafasi nzuri na hivyo kuhitaji zaidi ushindi
Mara ya mwisho Feisal kuitumikia Yanga ilikua katika mchezo dhidi ya Polisi Tanzania uliopigwa katika dimba la Benjamin Mkapa na kuisaidia timu yake kupata ushindi wa bao moja kwa sifuri.
Shirikisho la soka Barani Afrika CAF limeufungia uwanja wa Mkapa ambao unatumiwa na vilabu vya Simba na Yanga kama uwanja wao wa nyumbani ili uweze kufanyiwa marekebisho madogo
Shambuliaji huyo ambae pia ni nahodha wa Simba ameendela kuuwasha moto katika Ligi hiyo tangu ilipoanza na kuonekana ameongezeka makali kutoka na uzoefu mkubwa alioupata katika Ligi ya Mabingwa Afrika