Juma Mahadhi arejea kumpiga benchi Morrison !
Unaikumbuka mechi kati ya Yanga SC na TP Mazembe pale uwanja wa Taifa ? Mechi ambayo tajiri na aliyewahi kuwa...
Banda alitizama muda, Mahadhi bado anaangalia saa yake
Jua linachomoza ikiwa ni ishara ya mwanga kwenye maisha ya mwanadamu yoyote yule aliyepanga kwenye nyumba inayoitwa dunia. Nyumba ambayo...
Mahadhi wakumbuke Mazembe ujifunge masombo
Najua ushapitia nyakati tofauti zenye majira tofauti sana katika maisha yako, na kuna wakati mambo yako yalienda shoto na yakarudi...