Shirikisho AfrikaBanda: Simba wana mbinu chafu, watabebwa na marefa!Thomas Mselemu2 years agoNinachojua ni kwamba Pirates itafuzu kwa nusu fainali baada ya mikondo miwili. Ingekuwa hatari kama Pirates wangecheza Johannesburg kwanza.
Shirikisho AfrikaWapwa: Sina hakika kama mchumba huyu ni size ya muoaji au la!Tigana Lukinja2 years agoKifupi nao ni 'washamba' kama si wageni na njia naamini ni nafasi ya Simba kusonga mbele kama watakuwa na matumizi mazuri Estadio de Mkapa hiyo April 14.