Abdallah Saleh

Mchambuzi
Mchambuzi wa habari za mpira wa miguu katika kituo Times FM.
Ligi Kuu

Lipuli FC yaikomalia Simba SC

Simba sc, imeshindwa kupata ushindi ugenini dhidi ya Lipuli FC katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara baada ya kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 Katika mchezo huo ulioanza kwa kasi, huku wenyeji wakifaidika na umilliki wa mpira kwa kiasi kikubwa baada ya kufanikiwa kupata bao kunako dakika...
Shirikisho Afrika

Majirani kuamua hatma ya Yanga sc

Mabingwa wa soka Tanzania bara, Yanga sc, imepangwa kundi D lenye timu za Gor Mahia ya Kenya, Rayon Sports ya Rwanda na USM Arger ya Algeria katika hatua ya 16, bora ya kombe la Shirikisho barani Afrika Droo hiyo iliyopangwa leo mjini Cairo, Misri, kundi A linajuisha timu za Asec...
ASFC

Mtibwa sugar yabomoa Stand ya Shinyanga

Timu ya soka ya Mtibwa sugar ya Turiani Manungu mkoani Morogoro, imefanikiwa kuingia fainali ya kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya kuwachapa wenyeji Stand United kwa mabao 2-0 mchezo uliopigwa kunako dimba la CCM Kambarage mkoani Shinyanga Shujaa wa Mtibwa sugar hii leo, ni kiungo...
Ligi Kuu

Lipuli FC wajipanga kuivunja rekodi

Uongozi wa Lipuli FC, ya mkoani Iringa umesema kuwa wamekamilisha maandalizi yao na wamejipanga kuvunja rekodi ya Simba sc katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara. Mchezo huo, unaotaraji kupigwa kesho Lipuli itakuwa kunako uwanja wake wa nyumbani wa kumbukumbu ya Samora mjini Iringa kuwakaribisha vinara wa ligi...
La Liga

Zinedine Yazid Zidane aweka rekodi mpya

Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane, usiku wa jana katika mchezo wa Ligi kuu ya Hispania ameweza kuweka rekodi yake ya kushinda michezo 100, katika mashindano yote akiwa na Real Madrid Zidane mbaye alitengeneza rekodi hiyo katika mchezo wa jana dhidi ya Malaga, ambapo Real Madrid waliweza kuishinda Malaga bao...
Ligi Kuu

Shughuli za kijamii zasogeza mchezo wa Simba sc

Bodi ya ligi ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF), limeusogeza mbele kwa siku moja mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kati ya Lipuli FC dhidi ya Simba SC kutoka Aprili 20 hadi 21, 2018 Taarifa iliyotolewa na Ofsa mtendaji mkuu wa bodi, Boniface Wambura Mgoyo, kwenda kwa vilabu...
Blog

Cecafa yaingushia rungu Zanzibar

Timu ya taifa ya vijana ya Zanzibar iliyochini ya umri wa miaka 17, Karume boys, imeondolewa katika michuano ya vijana ya CECAFA yanaoyoendela nchini Burundi Timu hiyo imeondolewa kufuatia kupeleka vijana 12, waliozidi umri huo suala ambalo ni kinyume na kanuni za mashindano hayo Pamoja na kuondolewa, timu hiyo imetakiwa...
Shirikisho Afrika

Yanga bila Migomba yaifuata Dicha

Kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu Migomba hayumo kunako kikosi cha  Yanga sc, kilichoondoka leo kuelekea Hawassa, nchini Ethiopia tayari kwa mchezo wa marejeano wa mchujo kuwania kuingia hatua ya makundi ya kombe la shirikisho dhidi ya Wolaita dicha Kikosi cha wachezaji 20, na viongozi 12, kimepanda ndege ya Shirika la ndege...
Ligi Kuu

Yanga sc, kushushwa hadi nafasi ya tatu

Kikosi cha Azam FC, kilichosafiri hadi Ruvu mkoani Pwani kinataraji kushuka dimbani leo hii kuwakabili Ruvu shooting ya Pwani, katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara Katika mchezo huo, Azam FC wanahitaji alama tatu ili kuwashusha mabingwa watetezi Yanga sc kwa muda kunako msimamo wa ligi ambapo Azam...
1 4 5 6 7 8 17
Page 6 of 17