Baraka Mbolembole

Mwandishi na Mchambuzi mkongwe na aliyebobea katika familia ya kandanda. Baraka anandika habari na uchambuzi wenye tafakari na jicho la tatu ndani yake. Ukimuelewa utapata ‘madini’ mazuri kutoka kwake, kwake yeye ‘spedi’ ni ‘spedi’ na ‘kijiko’ ni ‘kijiko’.
Blog

Makapu ni bora kuliko ‘Fei Toto’ vs Simba

SAID Juma Makapu aliingia uwanjani dakika za mwisho wakati Yanga SC ilipoendeleza ushindi wa asilimia 100 Jumapili iliyopita. Yanga ilishinda kwa mara ya nne mfululizo baada ya kuichapa Singida United 2-0 katika uwanja wa Taifa na Makapu aliingia dakika kumi za mwisho kuchukua nafasi ya Feisal Salum ‘Fei Toto.’ Feisal...
Blog

Kunyimwa mpira kwa Kitenge ni kichekesho kinachopaswa kuziamsha klabu ligi kuu na kuhoji kwa pamoja

Mchezo wa kwanza tu kuzalisha magoli mengi ndani ya dakika 90, Shirikisho la Soka nchini-TFF limeonyesha udhaifu mkubwa. Mshambulizi wa Stand United, Alex Kitenge ambaye alifunga magoli matatu kwa mpigo ‘Hat Trick’ wakati timu yake ilipochapwa 4-3 na Yanga SC siku ya Jumapili iliyopita ‘alinyimwa’ mpira aliopaswa kupewa na mwamuzi...
Blog

Magoli 20 katika michezo tisa, tatizo Yanga ni beki au golikipa?

KATIKA michezo rasmi nane iliyopita Yanga SC imeruhusu jumla ya magoli 17 -wastani wa magoli mawili katika kila mchezo. Na magoli mengine matatu katika michuano ya SportPesa. Ni mchezo mmoja tu hawakuruhusu goli lolote. Hii inamaanisha timu hiyo inapaswa kujitazama na kujisahihisha katika ulinzi. Jukumu la ulinzi uwanjani ni kwa...
1 10 11 12 13 14
Page 12 of 14