Samatta wa Genk ndiye wa kuibeba Stars vs Cape Verde.
MIAKA miwili iliyopita timu ya Taifa ya Visiwa vya Cape Verde ilikuwa miongoni mwa Mataifa matatu bora katika viwango vya soka barani Afrika, na Ijumaa hii timu ya Taifa ya Tanzania ´Taifa Stars´ itaikabili nchi hiyo ndogo ya Magharibi mwa Afrika katika mchezo wa kundi la saba kuwania tiketi ya...