‘Kila msimu, Yanga vs Simba ipigwe mwanzo tu wa msimu, zitakuwa zimeshajiandaa’
KUNA mambo yanashangaza sana katika soka la Tanzania. Mojawapo kati ya mambo hayo ni ili la Shirikisho la mpira nchini-TFF kutangaza hadharani kuwa michezo ya katikati ya wiki hii inayohusisha klabu za Yanga SC na Simba SC kusogezwa mbele ili kuzipa nafasi ya kujiandaa zaidi (inavyoaminika) klabu hizo kubwa zinazotaraji...