Msemaji Simba: Tunakwenda Kufuta Uteja Mbele ya Yanga, Akataa Kuwa Ngazi ya Ubingwa
Tutadondoka na kushindwa kuchukua ubingwa lakini sio kufungwa na kutangaziwa ubingwa mbele yetu. Narudia tena hatupo tayari kuwa ngazi ya Yanga kwenye kutagazia ubingwa,