Mabingwa Afrika

Esperance mabingwa tena.

Sambaza kwa marafiki....

Wababe wa Tunisia, Esperance, wametangazwa kwa mara nyingine tena kama mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika na Mahakama ya ya Usuruhishi ya Michezo (CAS).

Ikimbukwe mchezo wa awali wa fainali dhidi ya Waydad Casablanca ulimalizika kwa mabao 1-1 na mchezo wa pili ulivunjika baada ya utataa wa VAR (Video ya Usadizi kwa Mwaamuzi). 

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.