BlogChama la Banda hali tete Afrika KusiniThomas Mselemu5 years agoLigi Kuu Afrika Kusini utaratibu wa kushuka daraja huwa ni timu inayoburuza mkia ndio hushuka moja kwa moja mpaka daraja la kwanza na anaefwatia atakaemaliza Ligi katika nafasi ya 15 hucheza "Playoff".