Simba sasa wanakwenda msimu wapili mfululizo bila kutwaa kikombe chochote kikubwa na hivyo kuendelea kuipa nafasi Yanga kuendelea kutawala na kubeba vikombe katika Ligi na Kombe la FA.
Ahmed Alli pia katika hafla hiyo amesema John Bocco aliwahi kumwambia Simba haipaswi kununua mchezaji wa miaka 18 halafu ikawa inasubiri akomae ndio wamtumie.