Tayari kikosi cha Simba kimeshaanza maandalizi ya kushiriki michuano hiyo huku wakiwa tayari wanajinasibu wameanza usajili mzito kuelelea mashindano hayo.
Hii itakuja kuwa faida kubwa sana kwa klabu kwakuwa hiki ndio kizazi ambacho kilipata "exposure" na "experience" zaidi kwenye historia ya Simba kuliko chochote.