Tayari klabu yake ya Simba juzi ilishatoa taarifa rasmi yakumtakia kila lakheri nyota wao huyo aliyefanya vyema katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na kuwepo katika kikosi bora cha mashindano
Yanga wamesema wapo tayari kumpokea mchezaji wake huyo baada ya maamuzi ya kamati ya sheria na hadhi ya wachezaji kumhalalisha kuendelea kuwatumikia Wananchi.
Eneo la kiungo wa ushambuliaji la Simba ambalo lina utiriri wa wachezaji. Katika eneo hilo kuna mafundi kama Okrah, Okwa, Chama, Banda, Sakho, Kibu, Mwinuke na Phiri
Manara akizungumza na waandishi wa habari leo amesema wao hawataenda "pre season" wakifanya mchujo bali watawaacha wachezaji wawili ili wabaki kumi na mbili.