Lakini siyo Kidunda peke yake wapo na wakali wengine ambao watapanda ulingoni kuonyesha ufundi wa mchezo wa ngumi, raia yetu bado tunaomba wapinzani wajitokeze kwa wingi
Huenda ukawa unajiuliza mwamba alipigaje mkwanja huu mrefu, ila ni rahisi sana alichokifanya ni kuweka dau lake dogo tu kisha akabonyeza kitufe cha kurusha ndege ya Aviator,
Na kipigo cha mwisho ni dhidi ya Azam Fc katika nusu fainali ambapo Simba walipoteza kwa mabao mawili kwa moja na hivyo kuondoshwa kwenye kombe hilo na kuifanya Simba kutoka tena patupu msimu huu bila kombe lolote.
Katika msimu huu pekee Azam na Simba wamekutana mara tatu, mara mbili katika Ligi ambapo Azam alishinda mchezo wa kwanza na sare katika mchezo wapili na huu wa FA ambao Simba imetolewa.