Yanga ipo katika kuendelea kukisuka kikosi chake wakitaka kusajilo wachezaji wenye uzoefu zaidi ili kufanya vyema katika Ligi ya Mabingwa Afrika tofauti na ambavyo walitolewa mapema katika msimu huu.
Tulikuwa na mfadhili miaka michache iliyopita ambaye alihama na kuondoka nchini na klabu iliyumba kutokea hapo. Hatukuweza kulipa mishahara na tuliporomoka katika suala la mafanikio na kupataka matokeo mabaya
Nitoe rai kwa mashabiki wote wa KMC na wakazi wa Kinondoni kwamba bado tuna nafasi yakwenda kupambana mpaka tone la mwisho, ni kipindi ambacho tunahitaji kutumika zaidi ili msimu unaokuja tuweze kuwepo
Pia Injinia Hersi ameonyesha kuheshimu na kuwashukuru viongozi wenzake klabuni hapo kutokana na kazi nzuri na yakutukuka waliyoifanya katika idara zao.
Wananchi walistahili ubingwa huo na kutetea taji lao walilolichukua msimu uliomalizika kutokana na kiwango kizuri walichoanza nacho msimu huu licha ya kupoteza rekodi yao yakucheza bila kufungwa
Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
Simba sasa wanakwenda msimu wapili mfululizo bila kutwaa kikombe chochote kikubwa na hivyo kuendelea kuipa nafasi Yanga kuendelea kutawala na kubeba vikombe katika Ligi na Kombe la FA.
Kocha huyo atakaesimama katika benchi la KMC kwa mara ya pili akichukua mikoba ya Hitimana Thiery amekiri ugumu wa Ligi hiyo lakino amesema watapambana mpaka mwisho na kuibakisha timu Ligi Kuu.