Ligi Kuu

Nyota KMC Alivyogawa Mamilioni Aliyoyapata Kwenye Soka Mtaani Kwake

Sambaza....

Mchezaji mkubwa hufanya mambo makubwa ndani ya uwanja na nje ya uwanja, unaweza kusema hivi baada ya mchezaji wa KMC FC Awesu Awesu aliyeshirikiana na Meridianbet mabingwa wa kasino ya mtandaoni na odds kubwa kutoa msaada wa Chakula kwenye mtaa aliozaliwa na kukulia, Meridianbet walimpa Challenge ya kupiga penati 5 kila moja zawadi yake ni 1,000,000/=TZS na alipata zote na kujinyakulia mkwanja ambao aliutoa kama msaada mtaani kwake.

Mchezaji wa eneo la kiungo Awesu Awesu aliambatana na Meridianbet wakali wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni walifika mtaani kwa mchezaji huyo Magomeni ambapo ni sehemu alipokulia na kukuzwa waliweza kutoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa watu wasiojiweza kama Mafuta ya kupikia, Sukari, Mchele, Sabuni, pamoja na vifaa vya kufanyia usafi.

Akiongea na wanahabari Awesu Awesu alisema “Kwanza ninamshukuru Mungu kwa kuniwezesha kufika hapa leo, lakini kubwa zaidi nawashukuru wadhamini wa timu ninayoitumiikia kwani imekua faraja kuifikia siku hii na kuweza kutoa msaada kwa jamii yangu iliyonikuza na kunilea nawashukuru sana wadhamimi wa timu ninayoitumikia wanavyohakikisha wanarudisha kwa jamii hata kile kidogo wanachopata”

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Mkuu wa kitengo cha mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Matina Nkurlu pia alipata nafasi ya kuzungumza “Hiki kilichofanywa na Awesu ni uungwana kwa maana ya tafsiri ya Uungwana ni pamoja na kujali njia ulizopita na kuzipa faraja.

Jisajili Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza kasino ya mtandaoni, jisajili leo ushinde mtonyo mrefu, twende kazi.

“Leo Meridianbet tunashirikiana na Awesu Awesu kuzipa faraja familia na wakazi wa Magomeni alipoishi Awesu hadi kufikia ndoto zake, na kesho huenda akawa mtu mwingine mkubwa akafikia jamii yake kupitia sisi, hivyo basi tunaahidi huu utakua mwendelezo kutoka Meridianbet kwa kushirikiana na klabu ya KMC FC kurudisha kwenye jamii” Alisema Matina Nkurlu

Lakini pia waliopokea msaada hawakua nyuma katika kushukuru kile kilichofanywa na Awesu Awesu kwa kushirikiana na Meridianbet na kusema wamefurahishwa sana na kilichofanywa na kijana wao kuweza kuwakumbuka na kuwapa msaada. Vilevile wakitoa shukrani kwa Meridianbet na kusema wao ni mfano wa kuigwa kwani wamekua wakirudisha kwenye jamii kila inapowezekana.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

Sambaza....