Julio: Singida Wanahitaji Heshima Lakini Kesho Hatuwaachi Tunataka Alama Tatu
Kocha huyo atakaesimama katika benchi la KMC kwa mara ya pili akichukua mikoba ya Hitimana Thiery amekiri ugumu wa Ligi hiyo lakino amesema watapambana mpaka mwisho na kuibakisha timu Ligi Kuu.