Barcelona naipenda, lakini Chelsea naipenda zaidi
HAYIMAYE uvumi umekuwa kweli. Chelsea imepangwa na Barcelona hatua ya 16 ya Uefa Champions league. Ilianza kama uvumi, ikaja tetesi, lakini mchana wa leo viganja vya Xabi Alonso vimefanya ndoto ya wengi iwe kweli. Ni mechi ya kiume. Ni mechi ya kigumu. Ni mechi inayokutoa machozi, jasho na damu kwa...