BlogAmissi Tambwe na simulizi za Mario “Super” Jardel..Mwandishi Wetu12 years agoNachokiamini ni mazoea yetu mabaya ambayo leo yanakuondoa, tumekuzoea kiasi kwamba tunakuona wewe sio hatari tena, dah! Namsubiria huyo mshambuliaji wao mpya