Spocha

Saa 02:00Asb; Ballon D’or Nyingi Zaidi Duniani.

Sambaza....

Tuzo ya Ballon D’o ndio tuzo ya heshima na ya juu zaidi kwa wachezaji wa Kandanda, huyolewa kila mwaka kwa mchezaji bora wa Dunia.

Muargentina Lionel Messi aliyezichezea Barcelona na PSG nasasa Inter Miamia anashikilia rekodi yakutwaa tuzo ya Ballon D’or mara nyingi zaidi kuliko mchezaji yeyote duniani. Messi ametwaa tuzo hiyo mara 7 ndani ya miaka 13.


Sambaza....