Kwa wanaosema Ever Barnega ni mchezaji wa kawaida, wajue tu kuwa Leo Messi ana jezi ya Lanzine sasa sijui Barnega na Lanzini nani ni mchezaji maarufu na mkubwa.
Ikiwa ni hatua ya 16 bora ya mashindano ya klabu bingwabarani Ulaya, tukishuhudia vilabu vyaAjax, Atletico, Barcelona, Bayern Munich, Dortimond, Juventus, Liverpool naLyon zikifuzu kwa kuongoza katika makundi yao huku Man City, Man U, PSG, Porto, Real Madrid,Roma, Schalke na Tottenham nazo zikiungana katika hatua hii zikiwa katikanafasi ya pili.