archiveFc Barcelona

Blog

Yaya Toure kufanya majaribio kwenye timu ya daraja la pili.

Kiungo wa zamani wa Barcelona na Manchester City Yaya Toure yupo nchini China kwenye klabu ya Qingdao Huanghai akifanya majaribio kwa ajili ya kujiunga na klabu hiyo ya daraja la pili. Klabu hiyo imetoa taarifa ya majaribio hayo kwa kiungo huyo mwenye umri wa miaka 36 leo Ijumaa ambapo imesema...
La LigaMabingwa Ulaya

Iniesta atuma salamu za kheri kwa swahiba wake.

Kiungo wa timu ya Vissel Kobe ya Japan Andres Iniesta amemshukuru na kumtakia kheri mchezaji Xavier Hernández Creus ‘Xavi’ ambaye ametangaza kustaafu kucheza soka la kulipwa mwishoni mwa msimu huu. Iniesta ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa anajivunia kukua na kucheza pamoja na kiungo Xavi katika timu ya Taifa...
Blog

Messi: Mambo bado magumu!

Nahodha wa Barcelona Lionel Messi amewaonya wachezaji wenzake kuacha kufikiria kuwa wameshamaliza kazi baada ya kuwafunga Majogoo Liverpool FC jana kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya. Messi amesema licha ya ushindi wa mabao 3-0 lakini hajatosha kabisa kuweka matumaini ya kwamba tayari...
La Liga

Uhispania wafanya mabadiliko madogo kwenye michuano yao.

Shirikisho la kandanda nchini Uhispania (RFEF) jana Jumatatu limefanya mabadiliko madogo ya kombe la Mfalme (Copa del Rey) na lile la Hisani (Spanish Super Cup) ambalo huwakutanisha mabingwa wa Laliga na Copa del Rey kuanzia msimu wa mwaka 2019-2020. Kombe la Copa del Rey sasa litachezwa kwa mfumo wa mchezo...
La Liga

Barcelona ndio mabingwa wa LaLiga.

Baada ya kushuhudia klabu ya soka ya Juventus ikitawazwa bingwa wa ligi kuu ya Italia kwa mara ya nane mfululizo mwishoni mwa Juma lililopita, inawezakana Barcelona nao wakatangazwa mabingwa wa ligi kuu Uhispania usiku huu. Barcelona ambao usiku wa kuamkia leo wamefanikiwa kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Alaves...
EPL

Manchester city yajawa na matumaini ya kunasa saini ya Ronaldo.

Klabu ya soka ya Manchester City ya England imepata matumaini ya kumsajili kinda wa Benfica ya Ureno Ronaldo Camara ambaye anawaniwa na vilabu vingine vikubwa ikiwemo Barcelona na Manchester United. Kinda huyo mwenye umri wa miaka 16 ni miongoni mwa wachezaji wanaotajwa kuwa tishio katika siku za usoni kwani tayari...
EPLLa LigaMabingwa UlayaSerie A

England ndiye mfalme wa Ulaya.

Kwa mara ya kwanza baada ya Miaka kumi, nchi moja imefanikiwa kuingiza timu nne kwenye hatua ya robo fainali ya ligi ya Mabingwa barani Ulaya, baada ya usiku wa kuamkia leo Liverpool kuungana na Manchester United, Tottenham Hotspurs na Manchester City kwa ushindi wa mabao 3-1 ugenini dhidi ya Bayern...
1 2 3
Page 1 of 3
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz