Samuel Eto'o
Spocha

Saa02:00Asb: Mchezaji Mwenye Makombe Mengi Afrika

Sambaza....

Samuel Etoo, gwiji wa zamani wa Cameroon anashikilia rekodi yakuwa mchezaji mwenye vikombe vingi zaidi kwa wachezaji wa Kiafrika.

Samweli Etoo ambae ndie Rais wasasa wa shirikisho la soka Cameroon alitwaa jumla ya vikombe 18 katika timu ya Taifa Cameroon na klabu alizochezea.

Baadhi ya vilabu alivyopita Etoo ni Real Madrid, Mallorca, Espanyol, Barcelona, Chelsea na Inter Milan.


Sambaza....