Simba imenisaidia sana katika maisha yangu kipindi hata wakati naondoka. Nakumbuka hata yule Dewji (Kassim) kwasasa hayupo sana mbele na timu lakini ni watu wazuri
Licha ya Geita Gold kutangulia kufunga lakini Yanga walitulia na kurudi kwa kasi kipindi cha pili, walirudisha bao hilo na kuongeza mengine na kupata ushindi mnono.
Timu hiyo ya Manispaa ya Kinondoni chini ya kocha Mkuu Thierry Hitimana ambayo ipo katika nafasi ya 10 mwa msimamo wa Ligi Kuu ya NBC na alama 16 imejihakikishia kupambana katika mzunguko huo wa pili