Ngassa: Nafurahi kucheza tena na Boban, bado Azam FC.
BAADA ya ushindi wa 16 katika michezo 18 ya mzunguko wa kwanza, pointi 50 mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu Tanzania bara, Yanga SC wamesema wataifunga pia Azam FC katika mchezo wao wa mwisho wa mzunguko wa kwanza ili kutanua pengo lao la pointi.