Ukaguzi huo umehusisha Uwanja wa Benjamin Mkapa, Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Julius Julius Nyerere, hospitali ya Taifa Muhimbili, Uwanja wa Uhuru, na viwanja vingine vya mazoezi.
Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi kimejichimbia nchini Uturuki kujiandaa na michuano ya Kitaifa na Kimataifa lakini kubwa zaidi ni michuano mipya ya Super Cup
alisaini mkataba wa kujiunga nao kabla ya msimu mpya na ameanza mchakato wake wa kupata kibali cha kufanya kazi na kukimbia kabla ya kuhamia Afrika Kusini rasmi.
Aidha pia msemaji wa klabu ya Simba Ahmed Ally ametaja tarehe rasmi watakayozindua wiki ya Simba pamoja na kutaja timu watakayocheza nayo kutoka Zambia.
Wawili hao Clatous Chama na Luis Miquissone waliondoka kwa pamoja mwaka 2022 ambapo walielekea RS Berkane na Al Ahly lakini sasa wawili hao wote wamerejea Simba