Feisal Salum: Kingereza Ndio Kinaniondoa Yanga
Aidha Feisal pia amesema hawezi tena kurudi Yanga kwani hana uhuru tena na hafurahii kufanya kazi na Wananchi hivyo ni vyema akaruhusiwa kuondoka zake akacheze sehemu nyingine.
Dondoo, Taarifa, Uchambuzi na Matukio yanayohusu uhamisho wa wachezaji Ligi zote Ulimwenguni