Azam vs Yanga katika rekodi zao
Yanga na Azam FC zinatenganishwa na bao moja na ushindi mmoja pekee katika rekodi zao za muda wote katika mashindano yote. Bao linalowatenganisha lilifungwa dakika ya 70 ya mchezo wao wa Aprili Mosi, 2017 na Obrey Chirwa. Rekodi ya Yanga dhidi ya Azam FC Kwa hiyo mchezo huu utakuwa VITA...