kuibuka na kushindania ubingwa wa Ligi kama ambavyo aliwahi kufanya Leicester City katika EPL. Ni ngumu kutokea kwa maajabu kama haya, ni wazi sasa Simba ataendelea kutesa katika kutwaa ubingwa wa Bara.
Nae msemaji wa klabu ya Simba hakusita kuisifia tovuti yao na kuzungumzia ni rekodi klabu yake hiyo kumilki tovuti katika ukanda huu wa Afrika Mashariki.
Baada ya mpango huo kufeli nikavutiwa na mpango wa kuja Tanzania ili nijiunge na Simba kama njia ya kwenda Ulaya maana nilikua najua kuna Wanigeria walipita hapa nakwenda Ulaya, nilisikia Emeh Ezechukwe alipita Simba akaenda nchini Denmark."