Katika Chuji mmoja ulikua unaweza kupata viungo watatu kwa maana ya kiungo wa ulinzi, kiungo mchezeshaji na kiungo mshambuliaji, jamaa soka alilijua na lenyewe likamjua.
Mtoto mmoja wa kishua, kwao maisha si haba kwani Baba yake alitengeneza fedha toka kitambo kupitia soka huku mama yake alivuna matunda kadhaa kwenye mpira wa wavu
Mwaka 2016, klabu hii yenye makombe mengi kuliko klabu yoyote Tanzania ilikumbwa na ukata baada ya aliyekuwa bwanyenye ama tajiri wa chama hilo bwana Yusuph Manji kuamua kuachana na timu hii pendwa nchini Tanzania.