Obi kurejea timu ya Taifa kwa ajili ya AFCON.
Kiungo John Obi Mikel amethibitisha kwamba ataitumikia timu ya Taifa ya Nigeria ‘Super Eagles’ kwenye fainali ya Mataifa Afrika zinazotarajiwa kufanyika kuanzia mwezi ujao nchini Misri. Taarifa kutoka kwenye uongozi wa timu ya Taifa zimesema kwamba Mikel tayari ameshakutana na kocha Rohr Gernot nchini Uingereza kujadiliana na hilo na kuthibitisha...