Shaaban Nditti: Tunahitaji umakini dhidi ya Northern Dynamo.
NAHODHA wa mabingwa mara mbili wa kihistoria wa ligi kuu Tanzania Bara- Mtibwa Sugar FC, Shaaban Nditti amewaonyawachezaji wenzake nakuwataka kuhakikisha wanaongezaumakini kama timu ili kuwaondoa Northern Dynamo FC katika raundi ya awali ya michuano ya Caf Confederations Cup. Mtibwa inarejea katika michuano ya Afrika kwa mara ya kwanza tangu...