Sambaza....

Kocha Mkuu wa timu ya Soka ya Tanzania (Taifa Stars), Emmanuel Amunike ametangaza kikosi cha wachezaji 30 kwa ajili ya michezo miwili ya kufuzu AFCON dhidi ya Cape Verde Oktoba 12 na 16, 2018.

Katika kikosi hicho wachezaji watatu kati ya Sita wa Simba ambao waliondolewa kuelekea mchezo dhidi ya Uganda ndio wamejumuishwa tena kikosini.

Kikosi kilichotangazwa:

Walinda Mlango:
Aishi Manula (Simba)
Beno Kakolanya (Yanga SC)
Mohamed Abdularhaman (JKT Tanzania).

Walinzi:
Hassan Kessy (Nkana)
Shomari Kapombe (Simba)
Salum Kimenya (Prisons)
Gadiel Michael (Yanga)
Paulo Ngalema, Ally Sonso(Lipuli)
Aggrey Morris, David Mwantika,
Abdallah Kheri (Azam)
Kelin Yondani, Andre Vicent (Yanga),
Abdi Banda (Baroka)

Viungo:
Himid Mao (Petrojet),
Saimon Msuva (El Jadida)
Mudathir Yahya, Frank Domayo (Azam),
Jonas Mkude (Simba)
Feisal Salum (Yanga)
Salum Kihimbwa (Mtibwa Sugar),
Farid Musa (Tenerife)

Washambuliaji:
Mbwana Samatta (KRC Genk),
Thomas Ulimwemgu (Al Hilal)
John Bocco (Simba)
Yahya Zayd (Azam)
Kelvin Sabato (Mtibwa Sugar)
Rashid Mandawa (BDF XI)
Shaban Chilunda (Tenerife).

Sambaza....