Ligi KuuMabati ya Azam Fc, Yamenawirisha paa la SimbaMartin Kiyumbi6 years agoAbdul Mohamed alikuwa na maono, maono ambayo yalikuwa ni msingi wa kuiimarisha Azam FC na kuwa timu imara kwa muda...
Ligi KuuHivi Messi alikuwa mzito kwenye miguu ya Singano?Martin Kiyumbi6 years agoRamadhani Singano "Messi", ndivyo tulivyoamua kumbatiza hilo jina baada ya kuhadaika na mguu wake wa kushoto. Mguu ambao alikuwa akiutumia...
Ligi KuuAzam fc kuendeleza ubabe kwa Lipuli fc hii leo?Abdallah Saleh6 years agoLigi kuu ya soka Tanzania bara kuendelea tena hii leo kwa mchezo mmoja kupigwa kunako dimba la Samora mjini Iringa,...
Ligi KuuKagera sugar yakabwa koo nyumbaniAbdallah Saleh6 years agoLigi kuu ya soka Tanzania bara iliendelea leo, kwa mchezo mmoja kupigwa kule Bukoba mkoani Kagera kunako dimba la Kaitba...
Ligi KuuUchambuzi Simba sc vs Azam fcAbdallah Saleh6 years agoKwa kuutazamia mchezo kati wenyeji Simba sc dhidi ya Azam fc, kwa hakika utakuwa ni mchezo mzuri na wenye ushindani...
Ligi KuuYanga ilikuwa bora zaidi dhidi ya AzamAbdallah Saleh6 years agoNi moja kati ya mechi nzuri ya kuvutia na iliyokuwa na ushindani wa kimbinu kwa pande zote, naweza nikasema timu...
Ligi KuuHiki ndicho kikosi cha pamoja cha Azam FC vs AzamMartin Kiyumbi6 years agoAzam Fc itamkaribisha kwa mara ya kwanza Yanga katika uwanja wake wa nyumbani wa Azam Complex Rekodi za mashindano yote...
Ligi KuuAzam vs Yanga katika rekodi zaoAbdallah Saleh6 years agoYanga na Azam FC zinatenganishwa na bao moja na ushindi mmoja pekee katika rekodi zao za muda wote katika mashindano...
Ligi KuuSaba wa Yanga kuikosa Azam fc keshoAbdallah Saleh6 years agoMabingwa wa soka Tanzania bara Yanga sc, kesho Jumamosi watakua ugenini kwenye uwanja wa Azam complex kuwakabili wenyeji wao Azam...
Ligi KuuAzam fc yaitandika Prisons 2-0Abdallah Saleh6 years agoMabingwa wa kombe la mapinduzj klabu ya soka ya Azam FC, leo hii imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi...