Ukitaka kujua kuchezea Azam FC ni kazi kiasi gani, waulize wachezaji waliokuwa Azam FC kisha wakaenda Simba au Yanga, au waliokuwa Simba au Yanga kisha wakaenda Azam FC," alisema na kuongeza
Narudia tena, ongea na Sure Boy akuhadithie maisha halisi ya kuichezea Azam FC. Ongea na Mudathir Yahya akueleze nini ugumu wa kuichezea Azam FC. Hivyo vigoli vyako 16, sasa hivi ungekuwa navyo 6 au 7