Mkataba wa Nabi na Yanga umemalizika huku viongozi wa Yanga wakikiri mkataba huo umemalizika na wapo katika mazungumzo ya kumuongezea mkataba Mtunisia huyo.
Anafuatilia PSL sana na anaona kuyumba kwa Chiefs. Ni wazi kwamba inamtia wasiwasi, na kama angepata nafasi ya kujiunga na timu nyingine isipokuwa Chiefs,
Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele amebakisha mwaka mmoja pekee katika mkataba wake na Yanga huku ofa kibao zikimiminika Jangwani lakini kocha wake Nasraddine Nabi amesema atakapokwenda.
Chanzo hicho pia kilisema si tu Fiston anahitajika Afrika Kusini lakini pia kuna baadhi ya timu kutoka nchi za Kiarabu zimeonyesha nia ya kumtaka nyota huyo
Yanga ipo katika kuendelea kukisuka kikosi chake wakitaka kusajilo wachezaji wenye uzoefu zaidi ili kufanya vyema katika Ligi ya Mabingwa Afrika tofauti na ambavyo walitolewa mapema katika msimu huu.