KMC FC inakwenda kwenye mchezo huo ikiwa imeshacheza jumla ya michezo 21 na hivyo kukusanya alama 23, huku ikishika nafasi ya 10 kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya NBC soka Tanzania Bara.
Kwaupande wa hali za wachezaji, bado kunachangamoto ya wachezaji watano ambao wanamajeraha ambapo kati ya hao wachezaji watatu ni majeruhi wapya waliotokana na mchezo uliopita dhidi ya Ihefu
Aidha KMC FC inatambua ushindani wa mchezo huo wa kesho kutokana na kila mmoja kuhitaji ushindi na kwamba kama timu imejipanga kuhakikisha kuwa inapata matokeo mazuri
Timu hiyo ya Manispaa ya Kinondoni chini ya kocha Mkuu Thierry Hitimana ambayo ipo katika nafasi ya 10 mwa msimamo wa Ligi Kuu ya NBC na alama 16 imejihakikishia kupambana katika mzunguko huo wa pili
Aidha katika michezo hiyo ya ligi kuu ya NBC, KMC FC inajiweka vema ili kuanza vizuri katika michezo mitatu ya nyumbani kwa kuhakikisha kwamba inavuna alama zote muhimu na hivyo kuendelea kujiweka sawia katika msimamo wa Ligi.
Kwa mujibu wa msimamizi wa mchezaji huyo Imani Mandu amekiri kupokea wamepokea ofa tatu kutoka katika vilabu vya Ligi Kuu huku KMC wenyewe wakiwa bado kimya.
Klabu ya soka ya Simba imecheze michezo miwili ya kirafiki katika uwanja wa Uhuru na kuibuka na ushindi katika michezo yote hiyo ambayo ilifanyika majira ya asubuhi