Wananchi Yanga wanatafuta nafasi adhimu yakucheza fainali ya michuano ya Afrika hivyo ni Marumo Gallants pekee wamebaki kama kikwazo kwa Yanga kufikia ndoto yao.
Kuelekea mchezo huo Alli Kamwe ametangaza viingilio vitakavyotumika pamoja na muda wa mchezo utakaochezwa huku ukitoka kuchezeka usiku na sasa utapigwa jioni.
Injinia Hersi Said amesema wanajua umuhimu wa Morrison hivyo wapo tayari kufanya lolote linalowezekana ili wapate huduma yao Morrison wakiwa ugenini nchini Afrika Kusini