Baraka Mbolembole

Mwandishi na Mchambuzi mkongwe na aliyebobea katika familia ya kandanda. Baraka anandika habari na uchambuzi wenye tafakari na jicho la tatu ndani yake. Ukimuelewa utapata ‘madini’ mazuri kutoka kwake, kwake yeye ‘spedi’ ni ‘spedi’ na ‘kijiko’ ni ‘kijiko’.
Ligi Kuu

Zahera awapa ‘tano’ mashabiki.

"Nawashukuru na kuwapongeza mashabiki waliofanikisha timu kwenda kwa ndege mkoani Mbeya, hakika Mungu awabariki sana . . hii ndio maana halisi ya timu kumilikiwa na mashabiki wake, sio ajabu kwa mashabiki kuichangia timu yao. . hata Barcelona , Madrid, PSG mashabiki huweka pesa zao ili kufanikisha jambo fulani. Nashangaa hapa...
1 2 3 4 5 6 14
Page 4 of 14