Aussems aache kushagilia ‘miujiza’ ya Chama, awasaidie Jjuuko, Kwassi
Huu si tena wakati wa Aussems kushangilia goli la muijiza ya Chama, ili asiwe jamvi la wageni katika hatua ya makundi afanye jitihada kama kocha kupandisha viwango vya Jjuuko na Kwassi kama anaona hawajakidhi mahitaji yake. Hao ni wachezaji muhimu mno katika ngome yake akiamua wawe.