Baada ya Singida Big Stars kumaliza nafasi ya nne na kujihakikishi nafasi ya kushiriki michuano ya Afrika mwaka huu imewalazimu kuungana na Fountaine Gate
Mkataba wa Nabi na Yanga umemalizika huku viongozi wa Yanga wakikiri mkataba huo umemalizika na wapo katika mazungumzo ya kumuongezea mkataba Mtunisia huyo.