kutamfanya kubadili mipango yake kwa kumuingiza kikosini Mohamed Hussein Tshabalala acheze mlinzi wa kulia halafu Novatus Dismas alieanza kama mlinzi wa kushoto acheze katika eneo lake la kiungo wa ulinzi.
Ili Tanzania iendelee kuweka hai matumaini yake yakufuzu ni lazima Stars wapate ushindi ili kufikisha alama 7 na kuzidi kuididimiza washinda wakubwa wa nafasi ya pili Uganda.
kubwa zaidi ni tiketi 100 kutoka kwa muunganilo wa Online Media Fc timu hii ya mpira wa miguu ambayo inahusisha wafanyakazi wa media zote za online nchi hii.
Sasa Stars wana kibarua kigumu dhidi ya majirani zetu Uganda ambapo kutakua na michezo miwili ndani ya siku nne. Stars itaanzia ugenini Machi 24 nchini Misri kabla ya kurudiana tena Machi 28 nyumbani