Blog

Nyika, Lucumay waenguliwa uchaguzi Yanga.

Sambaza kwa marafiki....

Kamati ya Uchaguzi ya klabu ya Yanga imewaengua wanachama waliokuwa wameomba kugombe nafasi mbali mbali katika klabu hiyo .

Wanachama wa Yanga walioenguliwa na kubakia.
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz