Kilichofuata hapo ni historia, hakuna mwanaYanga asiyemjua, hakuna mchezaji wa timu pinzani asiemuhofia, wote walikua wakimuona tu, wanajua kazi ipo leo!
Kongwe Sabato "Kevi Kiduku" wa Kagera Sugar ametoa ya moyoni kuhusiana na uhamisho wake wa kutoka Gwambina fc na kutimkia kwa "Wanakurukumbi" Kagera Sugar.