TetesiGeita Gold yaanza usajili na kiungo wa Simba!Thomas Mselemu2 years agoGeita ambayo kwa mara ya kwanza imecheza Ligi Kuu msimu uliomalizima na kukata tiketi ya kwenda katika michuano ya Kimataifa imedhamiria kufanya vyema katika michuano hiyo kwa kusajili wachezaji wazoefu.
Ligi KuuHizi hapa mechi kali zakumalizia Ligi!Tigana Lukinja2 years agoBinafsi hii ndiyo michezo mikubwa miwili ninayoiangalia kwa jicho la uoga kwa kuwa ina maamuzi na hatma ya timu. Fiston Mayele na George Mpole!?
Ligi KuuNi kweli Nabii hakibaliki nyumbani?Tigana Lukinja2 years agoShughuli ipo kwenye nafasi ya tatu na ya nne ambayo inawaniwa na Azam na wao Geita ya Minziro ili kuwa na uhakika wa kuwakilisha kimataifa.
UhamishoYanga yamshindwa mshambuliaji wa StarsThomas Mselemu2 years agoKama kuna klabu yoyote inayoongea na Mpole kwasasa ili kutaka kumsajili wanafanya makosa kisheria kwasababu Mpole ana mkataba.
Ligi KuuGeorge Mpole anaishi ndoto zetu!Thomas Mselemu2 years agojuhudi binafsi za George Mpole na ndio maana utofauti wa mabao ya kufunga na kufungwa ni 1 kwao lakini yeye pekeake Mpole ana mabao 13.
Ligi KuuKocha Yanga rasmi kuikosa derby, Yondani nae yumo!Thomas Mselemu2 years agoMiongoni mwa mechi atakazozikosa Nabi ni pamoja na mchezo wa Watani wa Jadi utakaopigwa April 30
BlogMechi za Mtoano, kupanda au kushuka LigiMwandishi Wetu5 years agoKagera Sugar na Mwadui Fc zimeingia katika hatua ya mtoano dhidi ya timu za ligi daraja la kwanza ili kuamua nani atabaki au atapanda Ligi Kuu.