Hawa Wachambuzi wa Mpira wa Nchi hii kila mtu ana namna yake ya kujitafutia Ugali wake! Wengine wanatafuta kwa njia za kawaida wengine wanatafuta kwa njia ya kuchafua taswira ya wengine
Ikiwa ana msimu mmoja tuu na Simba akijiunga nao akitokea Teungueth ya nchini kwao Senegal ameonekana kuwa moja ya nyota tishio kwa Wekundu wa Msimbazi.