Ligi KuuSimba na JKT Vitani Kuamua Ubingwa Leo.Mwandishi Wetu12 months agoEndapo watanyakua ubingwa huo maana yake watakua wamewalipa kaka zao wa JKT Tanzania ambao wametwaa ubingwa wa Ligi ya Champioship na kurudi Ligi Kuu.
Ligi KuuYanga yamtimua kocha wakeMwandishi Wetu1 year agoMpaka sasa Yanga Princess inashika nafasi ya nne ikiwa na alama 22 katika michezo 12 waliyoshuka dimbani
Ligi KuuSimba na Yanga kinawaka leo Uhuru.Mwandishi Wetu1 year agoMchezo huo wa watani wa jadi unatarajiwa kuwa wa kuvutia kutokana na ushindani uliopo baina yao na matokeo ya sare katika raundi ya kwanza.
Ligi KuuKuelekea Derby: Makocha wakataa kupoteza mchezo huo.Mwandishi Wetu1 year agoSimba Queeens wanakwenda kukutana na Yanga Princess wakiwa kileleni na alama 26 sawa na Fountain Gate lakini wao wakiwazidi magoli. Yanga Princess wao wapo nafasi ya nne wakiwa na alama zao 21.
Ligi KuuSimba ngoma ngumu, Yanga wapasukaMwandishi Wetu1 year agoSimba na Yanga wakiwa ugenini wameshindwa kabisa kujitutumua na hivyo kuangukia pua katika michezo yao ya raundi ya pili.
Ligi KuuSimba na Yanga katika mechi za kisasi Ligi Kuu!Mwandishi Wetu1 year agoMchezo huo unategemewa kuwa na ushindani mkubwa kwani timu hizo zinafuatana katika msimamo wa Ligi