Uongozi Arsenal wataja sababu za kumteua Unai Emery
Uongozi wa klabu ya soka ya Arsenal umetoa ufafanuzi wa kwanini wameamua kumteua kocha Unai Emery kuchukua mikoba ya kocha Arsene Wenger ambaye ameondoka klabuni hapo msimu huu licha ya Mikel Arteta kupewa nafasi kubwa zaidi. Stan Kroenke ambaye anamiliki hisa kubwa zaidi katika klabu hiyo yenye maskani yake jijini...