Haueni, Lallana kurejea uwanjani baada ya Mwezi mmoja
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Liverpool Adam Lallana huenda akarejea uwanjani kuendelea na mapambano ya soka baada ya mwezi mmoja, kutokana na jeraha la nyonga alilolipata na kumsababishia kuondolewa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya England kinachojiandaa na mchezo wa ligi ya mataifa ya Ulaya (UEFA Nations League) dhidi ya...